Naomba kazi ya kujitolea

Naomba kazi ya kujitolea

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu.

Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
 
Boss,tafuta kazi microfince km loan officer au mhasibu unaweza pata omba sehem nyingi hata kama hawajatangaza wewe jitangaze mwenyewe
 
Sawa mkuu asante ngoja nilifanyie kazi
 
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu.

Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
Tafuta baa ya jirani jitolee Counter/bar maid
 
Sawa utapata Mkuu , Mungu akufanyie wepesi .

Je ungependa upate Kazi katika maeneo gani hasa nikiimanisha kitaaluma au kiujuzi.
 
financial accounting, taxation, cost accounting, book keeping, stock taking niliwahi fanya Sam Store gas suppliers, na field zinazohusiana na business and economics kama freelancing and marketing hii na uzoefu niliwahi fanya ya azam pesa, atlas school, pamoja na jubilee insurance. Kama utakua na connection sehemu naomba niunge mkuu 0674793564
 
UNAJUA KUENDESHA GARI, HASWA MANUAL?
 
Itakua hujaelewa ulichoandika is bar maid, muhasibu? Anyway wacha niendeleee na nilichofata sorry kama sijakuelewa vizuri.
1. Unataka tukupe ushauri unaoupenda wewe tu? Kisa Diploma ya 'uhasibu'?

2. Bar maid pia ni njia ya kukutana na watu na kutengeneza connection ila kwa sababu umekomaza fuvu endelea kuchapika tu.

3. Binafsi niliwahi kubeba mizigo sokoni baada ya kuhitimu masomo CoET, UDSM ,)BSc Civil Engineering) na kupitia huko nikapata michango ya kazi za maana.
 
Kampuni nyingi zina hire watu .

Unachobidi kufanya tengeneza CV nzuri Kama zile za mabeberu.

Then angalia aina ya Kampuni ambayo ungependa kwenda kufanya then watafute hr inbox . kuna ambao watakujibu na ambao hawatakujibu .

Ukiwa job hunter unatumia hiyo mbinu inasaidia kupata Job

Then usiende kujitolea we omba Kazi Kama Kazi.

Maana ukipata kazi majukumu ambayo unafikiria kuyafanya yanaweza kubadilika so usiombe kujitolea omba Kazi au Internship.

Tumia LinkedIn, ukiwacheki hr 20 lazima mmoja atakuita au wawili
 
Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
Kazi si zimetoka wanawatafuta nyinyi mliosomea Shahada ya Uhasibu na IT wewe umejificha wapi?
chrome_screenshot_14 Nov 2024 06_24_57 GMT+03_00.png
 
1. Unataka tukupe ushauri unaoupenda wewe tu? Kisa Diploma ya 'uhasibu'?

2. Bar maid pia ni njia ya kukutana na watu na kutengeneza connection ila kwa sababu umekomaza fuvu endelea kuchapika tu.

3. Binafsi niliwahi kubeba mizigo sokoni baada ya kuhitimu masomo CoET, UDSM ,)BSc Civil Engineering) na kupitia huko nikapata michango ya kazi za maana.
Na hata uzi nimeandika mm, kuandika simaanishi nikuchapika usikalili njia zako kua za kila mtu 😂 usiforce kisa ulichapika kila mtu achapike wengine upambanaji upo damuni ila kwa style tunayotaka sisi,, na ndio maana nikaomba hata kujitolea bure muhimu kuimprove carier sio mawazo hafifu yako hayo ubar maid hautoniimprove my carrier wala kubeba mizigo,,, pia nikukosoe kidogo si diploma na bachelor ulisahau. Punguza ujuzi kwenye issue za watu saidia venye unahitajika venye huitajiki pita hivi.
 
Kampuni nyingi zina hire watu .

Unachobidi kufanya tengeneza CV nzuri Kama zile za mabeberu.

Then angalia aina ya Kampuni ambayo ungependa kwenda kufanya then watafute hr inbox . kuna ambao watakujibu na ambao hawatakujibu .

Ukiwa job hunter unatumia hiyo mbinu inasaidia kupata Job

Then usiende kujitolea we omba Kazi Kama Kazi.

Maana ukipata kazi majukumu ambayo unafikiria kuyafanya yanaweza kubadilika so usiombe kujitolea omba Kazi au Internship.

Tumia LinkedIn, ukiwacheki hr 20 lazima mmoja atakuita au wawili
Sawa mkuu asante sana
 
Back
Top Bottom