Kampuni nyingi zina hire watu .
Unachobidi kufanya tengeneza CV nzuri Kama zile za mabeberu.
Then angalia aina ya Kampuni ambayo ungependa kwenda kufanya then watafute hr inbox . kuna ambao watakujibu na ambao hawatakujibu .
Ukiwa job hunter unatumia hiyo mbinu inasaidia kupata Job
Then usiende kujitolea we omba Kazi Kama Kazi.
Maana ukipata kazi majukumu ambayo unafikiria kuyafanya yanaweza kubadilika so usiombe kujitolea omba Kazi au Internship.
Tumia LinkedIn, ukiwacheki hr 20 lazima mmoja atakuita au wawili