Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
Sawa mkuu asante ngoja nilifanyie kaziBoss,tafuta kazi microfince km loan officer au mhasibu unaweza pata omba sehem nyingi hata kama hawajatangaza wewe jitangaze mwenyewe
Tafuta baa ya jirani jitolee Counter/bar maidWakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu.
Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
Si lazma ucomment kila kitu afu mbaya zaidi mwanaume na unawatoto, punguza madharau.Tafuta baa ya jirani jitolee Counter/bar maid
financial accounting, taxation, cost accounting, book keeping, stock taking niliwahi fanya Sam Store gas suppliers, na field zinazohusiana na business and economics kama freelancing and marketing hii na uzoefu niliwahi fanya ya azam pesa, atlas school, pamoja na jubilee insurance. Kama utakua na connection sehemu naomba niunge mkuu 0674793564Sawa utapata Mkuu , Mungu akufanyie wepesi .
Je ungependa upate Kazi katika maeneo gani hasa nikiimanisha kitaaluma au kiujuzi.
Dharau zipo wapi hapo?Si lazma ucomment kila kitu afu mbaya zaidi mwanaume na unawatoto, punguza madharau.
UNAJUA KUENDESHA GARI, HASWA MANUAL?financial accounting, taxation, cost accounting, book keeping, stock taking niliwahi fanya Sam Store gas suppliers, na field zinazohusiana na business and economics kama freelancing and marketing hii na uzoefu niliwahi fanya ya azam pesa, atlas school, pamoja na jubilee insurance. Kama utakua na connection sehemu naomba niunge mkuu 0674793564
Kama si dharau soma tena ujumbe wangu wa awali swala la kuongeza uzoefu ktk field ya uhasibu af angalia kama ulotaja inanifaa kunisaidia kwenye field yangu.Dharau zipo wapi hapo?
Hapana mkuu manual sijuiUNAJUA KUENDESHA GARI, HASWA MANUAL?
Hapo baa huwez kufanya uhasibu wako?Kama si dharau soma tena ujumbe wangu wa awali swala la kuongeza uzoefu ktk field ya uhasibu af angalia kama ulotaja inanifaa kunisaidia kwenye field yangu.
Hapana mkuu manual sijui
Itakua hujaelewa ulichoandika is bar maid, muhasibu? Anyway wacha niendeleee na nilichofata sorry kama sijakuelewa vizuri.Hapo baa huwez kufanya uhasibu wako?
1. Unataka tukupe ushauri unaoupenda wewe tu? Kisa Diploma ya 'uhasibu'?Itakua hujaelewa ulichoandika is bar maid, muhasibu? Anyway wacha niendeleee na nilichofata sorry kama sijakuelewa vizuri.
Kazi si zimetoka wanawatafuta nyinyi mliosomea Shahada ya Uhasibu na IT wewe umejificha wapi?Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
😂 watu wengine,, ww huwezi saidia toa hata msaada wa maombi inatosha wacha siasa hzo na kua mjuaji.Attitude mbovu
Na hata uzi nimeandika mm, kuandika simaanishi nikuchapika usikalili njia zako kua za kila mtu 😂 usiforce kisa ulichapika kila mtu achapike wengine upambanaji upo damuni ila kwa style tunayotaka sisi,, na ndio maana nikaomba hata kujitolea bure muhimu kuimprove carier sio mawazo hafifu yako hayo ubar maid hautoniimprove my carrier wala kubeba mizigo,,, pia nikukosoe kidogo si diploma na bachelor ulisahau. Punguza ujuzi kwenye issue za watu saidia venye unahitajika venye huitajiki pita hivi.1. Unataka tukupe ushauri unaoupenda wewe tu? Kisa Diploma ya 'uhasibu'?
2. Bar maid pia ni njia ya kukutana na watu na kutengeneza connection ila kwa sababu umekomaza fuvu endelea kuchapika tu.
3. Binafsi niliwahi kubeba mizigo sokoni baada ya kuhitimu masomo CoET, UDSM ,)BSc Civil Engineering) na kupitia huko nikapata michango ya kazi za maana.
Sawa mkuu asante sanaKampuni nyingi zina hire watu .
Unachobidi kufanya tengeneza CV nzuri Kama zile za mabeberu.
Then angalia aina ya Kampuni ambayo ungependa kwenda kufanya then watafute hr inbox . kuna ambao watakujibu na ambao hawatakujibu .
Ukiwa job hunter unatumia hiyo mbinu inasaidia kupata Job
Then usiende kujitolea we omba Kazi Kama Kazi.
Maana ukipata kazi majukumu ambayo unafikiria kuyafanya yanaweza kubadilika so usiombe kujitolea omba Kazi au Internship.
Tumia LinkedIn, ukiwacheki hr 20 lazima mmoja atakuita au wawili