Naomba kazi ya kujitolea

Shida linkedln kumchek direct HR ningumu hasa kwa new member kwasababu inbox yake inakua imefungwa au labda kuna namna nyingine yawakucheki?
 
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu.

Nipo temeke dar es salaam na shahada ya uhasibu na teknolojia ya habari.
Nakuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…