Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

imani mbao

Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
6
Reaction score
6
Wakuu salam,

Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria.

Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo.

Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati… baada ya yote, niseme shida yengu nini?

Ikiwa kuna nafasi yoyote ya udereva, PSV, shule, kampuni au binafsi, nipo tayari kushirikiana na kuanza mara moja.
Sifa zangu:

Uzoefu wa kusafirisha abiria
Uaminifu na uwajibikaji
Kuheshimu sheria za barabarani
Kutunza gari vizuri

Kwa yeyote anayejua au anaweza kusaidia, nafurahi kupokea info inbox.

Asanteni sana wakuu 🙏🏾
 
Back
Top Bottom