Naomba kazi ya Welding

Naomba kazi ya Welding

Ngangasamit

New Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Kwa majina naitwa sabit nganga nimkazi wa kilombero. Fani yangu ni fund Welding. Pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye viwanda vikubwa vikiwemo KILOMBERO SUGAR COMPANY.

Kwaiyo nilikuwa naomba kama kutatokea nafasi yoyote ya kazi tuambizane.

Tell: 0627841578.
 
Kaka mafundiiiii Umeme wa magar anachukua kka maana hata me ni fundiiii mzuri tu wa umeme wa magar nifahamixhe kaka
 
Tuma maombi yako ya KAZI ukiambatanisha CV , cover letter Kwa kiingereza na vyeti vyako vyote vikiwa na mihuri ya mwanasheria Kwa huyu general manager beberu WA SBC-PEPSI kiwanda cha soda makao makuu Dar
johan.voigt@sbctz.com , tuma kwenye hiyo email . Hakikisha kimombo kimekaa vyema usiandike utopolo be precise and clear .
Kila la heri
Kinachofanya kazi ni kiingereza au ujuzi wa mtu.
 
Back
Top Bottom