Naomba kesho jumatatu tarehe 25-03-2019 iwe sikukuu ya ushindi wa Taifa Stars

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Posts
2,076
Reaction score
3,813
Kwa sababu leo, bei ya bia ni nusu bei kwa wakaazi wa jiji la Dar es salaam baada ya Taifa Stars kumfunga mwenye bomba la mafuta, basi tunaomba wale tutakaokunywa bia na kushindwa kufika kazini, kesho iwe sikukuu.

Kwa wale ambao tupo Mwanza, tunaomba leo msitoke majumbani. Mkamate mke wako ili ulipize mahali uliyotoa.

Mkuu wa mkoa bro Makonda, tunatanguliza asante kwa sababu kesho ni sikukuu.

Alamsikh!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unaomba mkuu.
Nikajua mzee wa EXCELLENT katoa agizo!
 
Nyie nao kuachiwa hizo goli 3 mnajiona watabe kweli mpaka kutaka siku ya kupumzika. Hivi kweli Uganda wangekaza mwanzo mwisho unafikiri mngepata ata goli moja.

MGC

MKUU UGANDA NI MARAFIKI WETU WA KWELI.
 
Hakuna timu ya kuachia goli tatu bila, mfumo huo haupo dunia nzima. Uganda wamezidiwa mpira na kukubali kichapo cha aibu
Nyie nao kuachiwa hizo goli 3 mnajiona watabe kweli mpaka kutaka siku ya kupumzika. Hivi kweli Uganda wangekaza mwanzo mwisho unafikiri mngepata ata goli moja.

MGC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…