Naomba kibarua chochote hata saidia fundi nipo Mwanza

25yrs huna ramani yoyote unataka kuwa saidia fundi?hata ubodaboda umekushinda?
Mbona maajabu ya Musa haya.
 
Wakuu Mimi ni kijana mwenye miaka 25 naomba kazi hata ya saidia fundi nipo mkuyuni jijini mwanza
Natanguliza shukrani.
Usikae ndani na usikate tamaa. Chukua kibeg kidogo weka nguo za kazi (zilizofubaa),tembelea maeneo yoyote ya miji inayoendelea kimakazi hapo Mwanza,usichoke kutembea pia vumilia dharau na njaa nakuambia utapata unachohitaji. Hizo nguo ni za kazi ukishapata tu. MUNGU AKUSAIDIE.
NB:HICHO KIBEGI NI KUMDHIHIRISHIA MUNGU KUWA UPO TAYARI NA UNACHOTAFUTA.
 
Asante mkuu mchango mzuri.
 
Back
Top Bottom