J josiah2008 Member Joined May 22, 2010 Posts 51 Reaction score 23 Jun 5, 2010 #1 Ndugu zangu habari za hapa nyumbani kwenu. Naomba japo kiwanja kidogo hata kama hakijapimwa ili nijenge kibanda nami niishi hapa.
Ndugu zangu habari za hapa nyumbani kwenu. Naomba japo kiwanja kidogo hata kama hakijapimwa ili nijenge kibanda nami niishi hapa.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Jun 5, 2010 #2 Kwa kuingia kwako jua kuwa kiwanja umepata. Karibu!
Mwana wa Mungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2008 Posts 1,003 Reaction score 85 Jun 5, 2010 #4 nenda kule kimara na mbezi-kibamba viwanja kibao vinauzwa, kwanini tukupe bure?
J josiah2008 Member Joined May 22, 2010 Posts 51 Reaction score 23 Jun 8, 2010 Thread starter #5 Nawashukuru wana JF wote kwa ukarimu wenu. Nimeshapata makazi yangu japo pembezoni sana.Pamoja na yote lakini maisha yanaendelea.
Nawashukuru wana JF wote kwa ukarimu wenu. Nimeshapata makazi yangu japo pembezoni sana.Pamoja na yote lakini maisha yanaendelea.