Naomba kiwanja

Naomba kiwanja

josiah2008

Member
Joined
May 22, 2010
Posts
51
Reaction score
23
Ndugu zangu habari za hapa nyumbani kwenu. Naomba japo kiwanja kidogo hata kama hakijapimwa ili nijenge kibanda nami niishi hapa.
 
Kwa kuingia kwako jua kuwa kiwanja umepata. Karibu!
 
nenda kule kimara na mbezi-kibamba viwanja kibao vinauzwa, kwanini tukupe bure?
 
Nawashukuru wana JF wote kwa ukarimu wenu. Nimeshapata makazi yangu japo pembezoni sana.Pamoja na yote lakini maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom