Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni mpya kabisa wala sijawahi kutumia jf, ispokuwa tu nilikua mfwatiliaji mzuri wa siredi za jfTuambie id yako ya zamani?
Kuna maneno ukitumia tu, tunajua wewe si mpya.
Anyway, karibu saana JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, safi sana.Mi ni mpya kabisa wala sijawahi kutumia jf, ispokuwa tu nilikua mfwatiliaji mzuri wa siredi za jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool ama?
Mi dume zaidi ata ya tezi, ila uyo liverpool nomaLiverpool ama?
MGC
Karibu mgeniHey guys mi ni mgeni humu jf, nlikuwa nikiifatilia kwa kusoma tu siredi na comments ila leo nimeamua kijifikia ndani, hope ntakaribishwa vizuri
Ule udomo zege umeuacha? Naona hata miandiko yako inaashiria udomo zege, welcome japo una miezi miwili humuHey guys mi ni mgeni humu jf, nlikuwa nikiifatilia kwa kusoma tu siredi na comments ila leo nimeamua kijifikia ndani, hope ntakaribishwa vizuri
Bado sijafaanikiwa kuuacha mkuuUle udomo zege umeuacha? Naona hata miandiko yako inaashiria udomo zege, welcome japo una miezi miwili humu
Sent using Jamii Forums mobile app