Naomba kubadilishana kituo cha kazi

Naomba kubadilishana kituo cha kazi

kendrickzedon

New Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa,

kwa taarifa njoo PM
 
Back
Top Bottom