Naomba Kuchangiwa ada ya mtihani

Naomba Kuchangiwa ada ya mtihani

Pole sana ndugu. Mungu atakusaidia usijali. Chochote kitakachopatikana tutasaidiana.
 
pole sana mdogo wangu hiyo ni mitihani naami utashinda tu ila chakufanya ungejaribu kwenda kwenye mashirika binafs au ya dini watakusaidia.
 
Back
Top Bottom