Naomba kuelekezwa Hand cap kwenye Mkeka bet

We masikini acha Chuki
3way handicap, muongeze goli na ashinde au muondolee goli na ashinde , + ongeza goli unachagua wao bookies wanaandika mf +1,+2,+3,+4 - toa goli mf -1,-2,-3,-4; simba na namungo , home team -1 means simba kabla hajacheza tayari umemchomolea goli moja so dakika tisini kashinda 2-1, inabidi watoe 1 ulioitoa ww then mkeka unakua draw ya 1-1 so umechanika, simba inatakiwa ashinde goli kuanzia tatu ili ikitolewa moja abakiwe na mbili, namungo ukimpa away +2; umemuongezea kabla ya mechi,dk tisini simba 2_1 namungo hapo namungo anaongezewa zle goli mbili ulizompa kabla so inakua simba2 namungo 3, so mshindi ni namungo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…