Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefukua kaburiAisee ..hadi wewe.mheshimiwa huwa unabeti kumbe..!?
Msukule wewe huna loloteHii kitu unawekaje?
3way handicap, muongeze goli na ashinde au muondolee goli na ashinde , + ongeza goli unachagua wao bookies wanaandika mf +1,+2,+3,+4 - toa goli mf -1,-2,-3,-4; simba na namungo , home team -1 means simba kabla hajacheza tayari umemchomolea goli moja so dakika tisini kashinda 2-1, inabidi watoe 1 ulioitoa ww then mkeka unakua draw ya 1-1 so umechanika, simba inatakiwa ashinde goli kuanzia tatu ili ikitolewa moja abakiwe na mbili, namungo ukimpa away +2; umemuongezea kabla ya mechi,dk tisini simba 2_1 namungo hapo namungo anaongezewa zle goli mbili ulizompa kabla so inakua simba2 namungo 3, so mshindi ni namungoWe masikini acha Chuki
3way handicap, muongeze goli na ashinde au muondolee goli na ashinde , + ongeza goli unachagua wao bookies wanaandika mf +1,+2,+3,+4 - toa goli mf -1,-2,-3,-4; simba na namungo , home team -1 means simba kabla hajacheza tayari umemchomolea goli moja so dakika tisini kashinda 2-1, inabidi watoe 1 ulioitoa ww then mkeka unakua draw ya 1-1 so umechanika, simba inatakiwa ashinde goli kuanzia tatu ili ikitolewa moja abakiwe na mbili, namungo ukimpa away +2; umemuongezea kabla ya mechi,dk tisini simba 2_1 namungo hapo namungo anaongezewa zle goli mbili ulizompa kabla so inakua simba2 namungo 3, so mshindi ni namungo
Tupo, this game is not for everybody wengine mkae mbali msijaribu.Kuna watu bado wana'bet
Unesha na [emoji735]Tupo, this game is not for everybody wengine mkae mbali msijaribu.View attachment 1664761View attachment 1664760View attachment 1664762
Sina huo umasikin wewe mwehuWe masikini acha Chuki