Naomba kuelekezwa hatua gani za kufuata kuwa wakala wa benki

Naomba kuelekezwa hatua gani za kufuata kuwa wakala wa benki

Evesta Ernest

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
16
Reaction score
15
Habari za muda huu wana JF? Nina ndoto ya kuwa wakala wa banks (commercial banks), naomba mwenye uzoefu zile machine za wakala unanunua au unapewa bure na banks accompanied with conditions au inakuaje?

Msaada tafadhali. Na vipi kuhusu leseni yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe na leseni mbili au maana yake uwe na uzoefu wa biashara ya hela, nmb na crdb unalipia pos laki mbili na thelathini ikikaribia kutoka unaweka kwenye ac. Milion mbiliambazo ni flot yako
 
Mimi sina uzoefu na biashara ya uwakala wa benki,.

Ninacho taka kuchangia ni mtazamo wangu kwa ambao wanajibu kwamba atumie simu yake kujua, minadhani usikute hapo alipo anatumia simu na jamiiforums kaipata huko google.

Maoni yangu wana jamiiforums tujitahidi zaidi kutoa tunachokijua hapa hapa kwasababu huko google taarifa muhimu kwa lugha ya kiswahili ni chache mno.

Kunawengine wanasema siuende ukawaulize au sijui uwapigie uwaulize ni sahihi lakini inasababisha uhaba wa taarifa mtandaoni. Kama unauelewa tuelekeze tu hapa, ndio maana ya jukwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom