Naomba kuelekezwa haya kuhusu mafao ya NSSF

Mkuu watz tunanyanyasana kiboya sana. .wakati wanachua wanaona raha lakini kurudisha inakuwa shida!! Hapo ni kutiana umasikini na kufanya watu kudharaulika kwenye jamii! Hivi hawa nssf hawawezi kushitakiwa?!!!
Mkuu ndio maana mara nyingi wanaofanyaga maisha kwa kutumia mafao ya NSSF zaidi ya 50% huwa wanafail maisha. Hivi wafanyakazi hawana wakuwasemea....
 
Nadhan hili suali linahitaji mjadala mpana sana...wabunge wetu nao sijui wanafanya kazi gani
 
Mkuu ndio maana mara nyingi wanaofanyaga maisha kwa kutumia mafao ya NSSF zaidi ya 50% huwa wanafail maisha. Hivi wafanyakazi hawana wakuwasemea....
Hapa haki haitendeki hat kidogo...inawezekanaje ofisi kukaa na pesa ya mtu kwa kipindi kirefu hadi mwaka?!!! Kuna sababu zip za msingi za kufanya hivo???? Kwanini wasimpe mtu haki yake ili nae akaendelee na maisha mengine?? Kwanza hiyo miezi sita mara minngine mitatu haipo popote imeandikwa hawa watu ni wahuni ndio mana hata hiyo miezi uchwara wanayopangiwa wanaodai hawaiandiki kwenye fomu za madai!! Pumbafu kabisa
 
Mkuu kwani wanalipa baada ya muda gani hawa watu baada ya kufungua madai
 
Hawaeleweki kabisa hawa jamaa...ukifungua madai wanakuambia kaa miez 3 kwanza ikiisha uende tena wakakuandalie mkwaja lakini cha ajabu wakuambia tuko kwenye mchakato wa kulipa mmoja mmoja unajikuta muda unaenda sana! Hawa wahuni wanatoa namba za simu kwa ajili ya mawasiliano cha ajabu unaweza kupiga sim hata Mara 50 na isipokelewe! Ukiwafata ofisini wanakujibu upige sim au tutakuyumia SMS na blabla nyingi za kijinga tu...ovyoo kabisa hawa jamaa
 
Sasa ndugu yangu wakishakupa hiyo miezi mitatu ikipita walikwambiaje maana mimi wamenipa miezi mitatu sasa nasubiri ipite ila nataka kujua ikiisha then nini kinafuata
 
Nssf, Hawa chenga sana, hawana lolote.. Km miaka haijafika 55 hawakupi kitu zaidi ya kukupotezea muda na hizo njoo kesho zao
1. Malengo ya mfuko ni kukutengenezea wewe malipo ya baadae ukiacha kazi usije ukawa omba omba

2. Anaestahili kunufaika ni wewe na wao kama ofisi wanaosimamia na kuzitunza pesa zako,ndiyo maana huzifanyia biashara zizae ili walipane mishahara na ofisi iweze kuendelea kutoa huduma.kwa hiyo mnufaika ni wewe uliekua unakatwa pesa na wao wanaozitunza.

3. Ukimaliza kazi au kuaachishwa,kaa miezi 6 mtaani na baada ya hapo uende kufungua madai yako ya kuomba pesa zako,nenda na barua yako ya kuachishwa kazi na wao wataenda ofisini kwako kuhakiki kua ni kweli uliachishwa kazi,wakipata jibu na kujilidhisha wataandaa malipo yako na utapewa chaque yako ya mnoti kulingana na siku waliyokupangia kurudi ofisini kwao kuchukua hundi yako,inaweza kua ni wiki mbili mpaka mwezi mmoja

N.B- ukishachukua mnoti wako nenda katafute shamba uanze kulima au nunua hisa bank au jenga nyumba za kupangisha kwa malipo endelevu maana after job ya kuajiliwa akili ya huku mtaani hua haipo hata kidogo,biashara zaweza kukuangusha na ukajikuta unatembea unaongea peke yako barabarani.

TCHAO

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Sasa ndugu yangu wakishakupa hiyo miezi mitatu ikipita walikwambiaje maana mimi wamenipa miezi mitatu sasa nasubiri ipite ila nataka kujua ikiisha then nini kinafuata
Baada ya miezi mitatu zinafuata ahadi za njoo kesho zisizo na tija utaambiwa tumeanza kulipa kidogo kidogo kwa waliotangulia japo unawezakuta mwezi mzima unapita hakuna hata mmoja ambaye amelipwa..NB: mimi leo ndo nmetimiza miezi 3 lakini kuna rafiki yangu anakaribia mitano sasa hadi amechoka
 
Swali dogo leo umetimiza 3 mts je wamekulipa?Huyo rafikiyo wamemwabia ttzo ni nn?
 
Kwakifupi pesa hakuna, kama hujafikisha umri wa kustaafu(60yrs) tafuta shughuli ya kufanya...
Huyo mwenyewe aliye staaf mpaka aje alipwe, maji ataita mma..
 
Vipi kuhusu hizi document tunazojaza ina maana ni uongo au vipi? Kwanini wasisema utaratibu unaoeleweka ?
 
Wanashindwa tu kusema ukweli mkuu.. mifuko ya kijamii ina hali mbaya...
Hawawezi kukwambia direct kuwa hela hakuna, kwahiyo wanaleta ujanja ujanja tu..!!
 
Duh...wacha tuone!
 
Mnashindwa kuwapeleka mahakamani kweli?

Kweli ndiyomaana baadhi ya waajiriwa hasa wa serikalini hawafanyi chochote baada ya kustaafu.
 
Mkuu nadhani hawajawah kupelekwa huko ndo mana wanakuwa na kiburi sana hawa...sasa subiri Mimi naanza nao la sivyo wanipe kazi kwenye shirika, mmoja wao aniachie kiti nikalie aalaah...!
 
Back
Top Bottom