MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mafuta ya Nguruwe hayana cholesterol?Mafuta yasiyokua na cholesterol
NdioMafuta ya Nguruwe hayana cholesterol?
Sawa.Ndio
Yanahifadhiwaje?Astakhafulah....🙃
Ninakushukuru ila ninakuahidi nitaendelea kuupuuza ushauri wako. Asante sana.Nenda ofisi za TFDA,TBS, SIDO na zingine utapata mwongozo
Katakata vipande vidogo kama nyama ya kupika vile. Chemsha mafuta hayo bila maji kwani yatajikaanga kwa mafuta yake yenyewe. Chemsha hadi mafuta yote yatoke na kuwa na rangi ya brown kama nyama iliyokaangwa. Epua mafuta yaache yapoe kidogo.Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani na kuyatayarisha kisha kuyahifadhi. Sasa ninaomba kwa anayefahamu namna nzuri ya kuyahifadhi ili yasiharibike.
KARIBUNI
Asante sana nduguKatakata vipande vidogo kama nyama ya kupika vile. Chemsha mafuta hayo bila maji kwani yatajikaanga kwa mafuta yake yenyewe. Chemsha hadi mafuta yote yatoke na kuwa na rangi ya brown kama nyama iliyokaangwa. Epua mafuta yaache yapoe kidogo.
Waweza kuondoa mabaki au kuyaacha ndani ya mafuta. Hizi ni kama nyama zilizo kaangwa ni tamu sana. Hifadhi mafuta yako kwenye chombo safi na ufunike vizuri. Usihifadhi mafuta yoyote kwenye mwanga kwani huharibika mapema. Kwa namna hii mafuta yako yanaweza kukaa ha miaka 3.