Naomba kuelekezwa jinsi ya kutambua scientific calculator original

Naomba kuelekezwa jinsi ya kutambua scientific calculator original

Hahahahahah nimecheka bila stop, umesema hivi kumaanisha nimeenda age eeeeeh
Sawsa mkuu
Asante
Hiyo ndiyo nilikuwa najilaumu kuwa tunalumbana na watoto wa shule hapa. JF ni bora ikaweka identity ya mtu. Imagine utakuta mtoto kama huyu ati amtongoze Mama mdenyi au jje's si ni aibu?
 
ndo maana nilifeli kumbe caluu nazo kuna original na fake
Caluuuuu ishanifelisha tayari in gwakila voice
 
ndo maana nilifeli kumbe caluu nazo kuna original na fake
Caluuuuu ishanifelisha tayari in gwakila voice
 
Back
Top Bottom