Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Nakumbuka nlitumia hiiCasio fx-991 MS two power way scientific calculator.
Hiyo ndiyo nilikuwa najilaumu kuwa tunalumbana na watoto wa shule hapa. JF ni bora ikaweka identity ya mtu. Imagine utakuta mtoto kama huyu ati amtongoze Mama mdenyi au jje's si ni aibu?