Naomba kuelekezwa jinsi ya kutoa madoa kwenye nguo nyeupe?

Naomba kuelekezwa jinsi ya kutoa madoa kwenye nguo nyeupe?

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,343
Reaction score
10,799
Salaam,

Shuka langu Jeupe lilipata bloodstain usiku, asubuhi nikaliloweka na sabuni ya Doffi, nikalifua jioni, Lakini madoa hayajatoka.
Je nawezaje kutoa hayo madoa..?

Asante
 
Ukitusaidia how was it bloodstained basi tunaweza kwa haraka sana kukupa msaada unaohitaji.

Karibu tafadhali.
Mkuu..ukishajua how it was blood stained itakusaidia Nini?

Mimi nataka kujua namna yakutoa Doa, shuka langu nalipenda sana.
 
Kanunue water guard lowekea lisaa limoja au mawili then fua
 
Nakumbuka miaka hiyo Ariel ilichana shati langu la shule, nililoweka kwa masaa kadhaa nakuja kutoa shati limechanika, nilizichukia.

basi shati ndio lilikuwa na shida,mimi nguo zangu zote nafua kwa kutumia Ariel naziloweka jioni then kesho yake asubuhi nafua na hazijawahi kupata tatizo, Ariel ni sabuni nzuri sana zamani nilikuwa natumia zile sabuni za unga za kupima zilinipaushia nguo
 
Acha hizi za sasa hivi,
Kuna hako kamjaa enzi hizo kalikua sio poa kwenye kutoa madoa sugu, lakini ukijichanganya ukapitisha masaa lazima ulie.
images%20(3).jpg
 
ooh,hapo sawa,ila hata sasa wapo vizuri japo mimi kuna suruali ina doa la kutu mpaka leo limegoma kutoka nishajaribu mno limegoma
Hapo inabidi uisamehe tu, hakuna jinsi.
Unaweza tumia dawa za madoa zikaenda kupaharibu kabisaa
 
Nakumbuka miaka hiyo Ariel ilichana shati langu la shule, nililoweka kwa masaa kadhaa nakuja kutoa shati limechanika, nilizichukia.

Mie haijwahi niletea hio shida ni nzuri sana kwa nguo nyeupe hasa ukiroweka, labda shati lilikua na shida [emoji28]
 
Back
Top Bottom