Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina shati jeupe you jipya nilivaa kwenye sherehe but mwishoni likaishia kupakwa lipsticks & make up pamoja na kuziloweka zimegoma kutoka na nahofia kutumia dawa za madoaHapo inabidi uisamehe tu, hakuna jinsi.
Unaweza tumia dawa za madoa zikaenda kupaharibu kabisaa
Nadhani kwa nguo nyeupe hazina shida kutumia dawa za madoa,Nina shati jeupe you jipya nilivaa kwenye sherehe but mwishoni likaishia kupakwa lipsticks & make up pamoja na kuziloweka zimegoma kutoka na nahofia kutumia dawa za madoa
Asante. Nitanunua nijaribuNadhani kwa nguo nyeupe hazina shida kitumia dawa za madoa,
Nguo za rangi ndio zenye utata unaweza ukaweka dawa ya kutoa madoa, ikapausha au rangi ikatoka kabisa.
Yes..Waterguard ile ya kuuwa vijidudu kwenye maji ya kunywa?...Duuh
Salaam,
Shuka langu Jeupe lilipata bloodstain usiku.. asubuhi nikaliloweka sa SABUNI ya Doffi...nikalifua jioni... Lakini madoa hayajatoka
.
Je nawezaje kutoa hayo madoa..?
Asante
Next time tumia, Sabuni ya maji ya Maq( nadhan inauzwa 3000).. Ina JIK na chemical ambayo haiozeshi nguo inatoa uchafu hata ugande vipi. Very useful.Asante mkuu
Kwani "Always" bei gani we bint mpaka uchafue shuka hivyo?Salaam,
Shuka langu Jeupe lilipata bloodstain usiku.. asubuhi nikaliloweka sa SABUNI ya Doffi...nikalifua jioni... Lakini madoa hayajatoka
.
Je nawezaje kutoa hayo madoa..?
Asante
Kukuchangia sio tatzo ila tatzo linakuja nikupe tu hela halafu kuna mtu anapata faida ya uwepo wako ni mwingineMkuu sina hela ya Always..Unaweza nichangia?...UTAKUWA umenisaidia Sana.