Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Nimesikia kwa juu juu tu ukiwa na account katika benk ya ABSA unapata riba kila mwezi kutokana na salio lako lakini pia wanatoa mkopo low condition. Pia unapewa kadi papo kwa papo.

Kwa yeyote mwenye uelewa na habari za Absa anisaidie, kesho nikafungue. Asanteni.
 
Benki hii mie najua wengi wanatumia sana km wana safari za kwenda Ulaya
 
Stanbic bank wapoje chief
Kuna account yao moja ya biashara ukiwa unafanya deposit inakuonyesha kiwango unachoweza kukopa kidigitali bila kwenda benki.

Pia Wao, Absa, Stanchart wana ATM depositing machine, yaani ukitaka kuweka pesa Siyo lazima uende benki unaenda tu ATM unaweka, labda kama una Cash nyingi ndiyo uende branch.
 
hii bank iko vizuri sana mimi naipenda ni bank ya kitajiri
 
Back
Top Bottom