nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #21
Hawana branches mikoani?Unategemea ABSA wawe na branch Katavi au wilayani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana branches mikoani?Unategemea ABSA wawe na branch Katavi au wilayani?
Duh, sasa sisi wa mikoani tunapata vip access zaoAbsa=Barclays
Google utawapata,
hawana matawi mengi kuwapata ni changamoto kidogo mi ilibidi nimtafute mtu wa boda anipeleke
Miji mikubwa tu, Dar, Mwanza, Dodoma, Arusha Kama uko katavi au Mara una option za NMB, NBC na ndugu yake CRDBHawana branches mikoani?
Stanbic zipo mikoaniMiji mikubwa tu, Dar, Mwanza, Dodoma, Arusha Kama uko katavi au Mara una option za NMB, NBC na ndugu yake CRDB
siku nyingiiiVip umeshafungua account?
Ulifungua ukiwa wapi?siku nyingiii
wewe unapatikana mkoa gani?Hawana branches mikoani?
Mkoa gani?Stanbic zipo mikoani
Iringa bosswewe unapatikana mkoa gani?
Iringa Nimeona office yaoMkoa gani?
Duuuh ebwanawee kwanini sio hapa hapa?njoo inbox nikupe maelekezo
Ndio ujinga wako uliotopea, toa maelezo kuwa uko wapiSipo dsm
Ongeza nyama ongeza nyama hio bado Mifupa sababuhii bank iko vizuri sana mimi naipenda ni bank ya kitajiri
FNB walianza mapema sana tangu 2019 unaweka pesa zaidi ya 2m muda wowote kwenye atm zao, sijui kwanini ilipotea TzKuna account yao moja ya biashara ukiwa unafanya deposit inakuonyesha kiwango unachoweza kukopa kidigitali bila kwenda benki.
Pia Wao, Absa, Stanchart wana ATM depositing machine, yaani ukitaka kuweka pesa Siyo lazima uende benki unaenda tu ATM unaweka, labda kama una Cash nyingi ndiyo uende branch.
Matusi yanakuja vip?Ndio ujinga wako uliotopea, toa maelezo kuwa uko wapi
Google mkuu, kwani wewe uko wapi?Duh, sasa sisi wa mikoani tunapata vip access zao
Ukute walikosa wateja running costs zikawakataFNB walianza mapema sana tangu 2019 unaweka pesa zaidi ya 2m muda wowote kwenye atm zao, sijui kwanini ilipotea Tz
Iringa bossGoogle mkuu, kwani wewe uko wapi?
Walipoanza wateja walikuwa wengi sanaUkute walikosa wateja running costs zikawakata
Hahahahaha, muelekeze aendeAbsa=Barclays
Google utawapata,
hawana matawi mengi kuwapata ni changamoto kidogo mi ilibidi nimtafute mtu wa boda anipeleke