Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

Kuna account yao moja ya biashara ukiwa unafanya deposit inakuonyesha kiwango unachoweza kukopa kidigitali bila kwenda benki.

Pia Wao, Absa, Stanchart wana ATM depositing machine, yaani ukitaka kuweka pesa Siyo lazima uende benki unaenda tu ATM unaweka, labda kama una Cash nyingi ndiyo uende branch.
FNB walianza mapema sana tangu 2019 unaweka pesa zaidi ya 2m muda wowote kwenye atm zao, sijui kwanini ilipotea Tz
 
Back
Top Bottom