nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Nimeingia Google sijawaelewa
Benki hii mie najua wengi wanatumia sana km wana safari za kwenda UlayaNimesikia kwa juu juu tu ukiwa na account katika benk ya ABSA unapata riba kila mwezi kutokana na salio lako lakini pia wanatoa mkopo low condition. Pia unapewa kadi papo kwa papo.
Kwa yeyote mwenye uelewa na habari za Absa anisaidie, kesho nikafungue. Asanteni.
Nasikia wameongeza fursa kwa wale wanaoanza maishaBenki hii mie najua wengi wanatumia sana km wana safari za kwenda ulaya
Hahahahaha angalia location yanofc zao uende kuwaona au angalia namba zao...ktk.website yao au Accounts zao za Social mediaNimeingia Google sijawaelewa
Sipo dsmNenda Ngozi mbele ya Tazara upande wa kushoto ule wa Azam
Namba zao nimepiga inajibu the number you have dialed isn't correctHahahahaha angalia location yanofc zao uende kuwaona au angalia namba zao...ktk.website yao au Accounts zao za Social media
Stanbic bank wapoje chiefMkuu bora umeanzisha huu uzi, wadau watuambie benki ipi inafaa ambayo ina masharti nafuu kwenye mikopo .Naambiwa Stanbic wako vizuri pia
Nimesikia kwa juu juu tu ukiwa na account katika benk ya ABSA unapata riba kila mwezi kutokana na salio lako lakini pia wanatoa mkopo low condition. Pia unapewa kadi papo kwa papo.
Kwa yeyote mwenye uelewa na habari za Absa anisaidie, kesho nikafungue. Asanteni.
njoo inbox nikupe maelekezoNimesikia kwa juu juu tu ukiwa na account katika benk ya ABSA unapata riba kila mwezi kutokana na salio lako lakini pia wanatoa mkopo low condition. Pia unapewa kadi papo kwa papo.
Kwa yeyote mwenye uelewa na habari za Absa anisaidie, kesho nikafungue. Asanteni.
Kuna account yao moja ya biashara ukiwa unafanya deposit inakuonyesha kiwango unachoweza kukopa kidigitali bila kwenda benki.Stanbic bank wapoje chief
Weka hapa tufaidike wengi,njoo inbox nikupe maelekezo
hii bank iko vizuri sana mimi naipenda ni bank ya kitajiriKuna account yao moja ya biashara ukiwa unafanya deposit inakuonyesha kiwango unachoweza kukopa kidigitali bila kwenda benki.
Pia Wao, Absa, Stanchart wana ATM depositing machine, yaani ukitaka kuweka pesa Siyo lazima uende benki unaenda tu ATM unaweka, labda kama una Cash nyingi ndiyo uende branch.
Absa au Stanbic?hii bank iko vizuri sana mimi naipenda ni bank ya kitajiri
AbsaAbsa au Stanbic?
Vip umeshafungua account?hii bank iko vizuri sana mimi naipenda ni bank ya kitajiri
Unategemea ABSA wawe na branch Katavi au wilayani?Sipo dsm