Naomba kuelekezwa lodge ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

Naomba husika na mada apo juu naomba mwenye uzoefu anipe jina la lodge nzuri maeneo ayo isizidi 25 jamani sina hela bayeti yangu ndogo natokea pemba naitaji kukaa apo kwa siku 4 ila ninaemfata yupo na chumba kimoja tu.naimani mutanisaidia
Eraldo Natron Tiptop
 
Maryam toto la Kipemba! Tatizo moja tu Manzese apo Lodge zote zina makahaba nje wanazenhea zengea, so ukipata unachohitaji unashauri kufika katika room yako mapema kiasi, zaidi ya hapo, wajuba watajua ni mmoja wao, alafu itakuwa disaster kwako.
 
Huna haja ya kulala Manzese...mbona Daslam kubwa sana..na usafiri fasta tu.
 
Maryam toto la Kipemba! Tatizo moja tu Manzese apo Lodge zote zina makahaba nje wanazenhea zengea, so ukipata unachohitaji unashauri kufika katika room yako mapema kiasi, zaidi ya hapo, wajuba watajua ni mmoja wao, alafu itakuwa disaster kwako.

Ok ahsante kwa maelekezo
 
Naomba husika na mada apo juu naomba mwenye uzoefu anipe jina la lodge nzuri maeneo ayo isizidi 25 jamani sina hela bayeti yangu ndogo natokea pemba naitaji kukaa apo kwa siku 4 ila ninaemfata yupo na chumba kimoja tu.naimani mutanisaidia
Mkuu njoo ufikie kwangu for free ukiamua kuongeza siku za kukaa sawa tu
 
Hapo TipTop kuna Lodge ni ya ghorofa jina nimelisahau,ipo barabani kabisa, ni nzuri ina usalama bei kuanzia elfu15
 
Back
Top Bottom