Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
Asante mkuuNadhani posta litakuwepo japo mtaa sina hakika nao
Dini zote asili take ni uyahudi.We mmatengo Mara hii umekua myahudi, ukiristo huutaki huutaki tena?
Kuhusu?Kimbe kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante mkuu
MyahudiKuhusu?
Mi sio myahudi mi ni mtanganyika.Myahudi
Mapenzi na myahudi i meantMi sio myahudi mi ni mtanganyika.
Nimeielewa dini yao.Kumbe linda kakubadilsha dini kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], sasa mkiachana utaendela nayo au utarudi dini yako ya zamani?
Of course nipo kwenye penzi na mtoto wa kiyahudi. Linda.Mapenzi na myahudi i meant
Hapana ni Jews.Wayahudi ndio jewish?
Sijui ila mi nijuavyo ni nyumba ya ibada.Sinagogi maana yake ni Msikiti
Nimeangalia google.. Nilikuwa nipo sawa 100%..Hapana ni Jews.
Jewish ni adjective ya origin.