Naomba kuelekezwa masinagogi yalipo ndugu zangu

Naomba kuelekezwa masinagogi yalipo ndugu zangu

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Hi everyone in here,

Naombe kujuzwa wapi Masinagogi ya Wayahudi yanapatikana kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani zangu.

Jambo Tanzania.
 
Nadhani posta litakuwepo japo mtaa sina hakika nao
 
Kumbe linda kakubadilsha dini kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], sasa mkiachana utaendela nayo au utarudi dini yako ya zamani?
 
Nenda Sinza kijiweni. Nyuma chuo cha Magerza linatazamana na kituo cha Mwendokasi
 
Back
Top Bottom