Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka antivirus na kuscann
 
Ingia kaspesky download free trial afu install setup yake, hii ni online installation na ina cost MB kama 300 hivi

Uki download hiyo run quick scan itafutafuta virus wote
 
Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows.
Fanya hivi

#1. Download na burn CD Hiren Boot CD (ISO-download)

#2. Ingia youtube na jifunze jinsi ya kuumia hiyo CD.

Utaweza ondoa virus, bila kulazimika kuweka OS mpya.
---
Ukifanikiwa hilo zoezi hakikisha unafanya installation ya ESET NOD32
 
Na hiyo ESET NOD32 ni kwa ajili ya nini
 
Ingia kaspesky download free trial afu install setup yake, hii ni online installation na ina cost MB kama 300 hivi

Uki download hiyo run quick scan itafutafuta virus wote
Hii Kaspersky ikishakaaga muda mrefu huwa inageuka Visur sugu na huwa ni ngumu sana kutoka mpaka ubadili window.
 
Back
Top Bottom