chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika wali wa kuchambuka kwa kutumia jiko la gesi. Mara nyingi ninapopika, wali wangu unatoka mzito na kushikana kama ugali.
Naomba maelezo ya hatua kwa hatua, ikiwemo uwiano sahihi wa maji na mchele, kiwango cha moto, na muda wa kupika ili nipate wali mzuri wa kuchambuka.
Naomba maelezo ya hatua kwa hatua, ikiwemo uwiano sahihi wa maji na mchele, kiwango cha moto, na muda wa kupika ili nipate wali mzuri wa kuchambuka.