Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza API

Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza API

ZenoPay wanatoa Api za Kupokelea Malipo kwa Njia ya Malipo ya Simu na Card
 
Duuh! kumbe mimi ndie niliomba msaada wa namna ya kutengeza API?

Yote kwa yote asanteni sana wakuu maana kwa sasa nazishusha kwa kutumia Java na framework ya Spring-boot
 
Back
Top Bottom