mwanaharakatihalisi1
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 107
- 25
watu wanashindwa kutofautisha kati ya synthetic and mineral oil, kila kampuni za kutengeneza oil wanatengeneza hizo oil za aina 2....unakuta mtu anakariri castrol zinaenda km nyingi na anaweka mineral oil matokeo yake anaenda km nyingi kuzidi uwezo wa oil kuhimili hapo kinachofuata ni kuua engine tuKinachofanya oil ziende km nyingi siyo jina (Castrol, BP oryx n.k) bali in teknolojia iliyotumika kupata oil husika. Oil ya kampuni yeyote ikiwa ni synthetic technology huwa inakuwa na uwezo mkubwa kuliko oil za kawaida (Mineral Oil). Ninaposema uwezo mkubwa namaanisha uwezo Wa kulinfa injini isichakae, kupunguza matumizi ya mafuta na kukaa muda mrefu toka ilupowekwa had I kubadirishwa
Naomba elimu kidogo ya kujua tofauti ya synthetic na mineral.... Asanteh!watu wanashindwa kutofautisha kati ya synthetic and mineral oil, kila kampuni za kutengeneza oil wanatengeneza hizo oil za aina 2....unakuta mtu anakariri castrol zinaenda km nyingi na anaweka mineral oil matokeo yake anaenda km nyingi kuzidi uwezo wa oil kuhimili hapo kinachofuata ni kuua engine tu
Synthetic oil ni oil inayotengenezwa kiwandani kwa kutumia kemikali mbalimbali na mineral oil ni oil inayochunjwa kutoka katika crude oil yaani mafuta ghafi yanayotoa petrol, diesel, kerosene na kadhalika.Naomba elimu kidogo ya kujua tofauti ya synthetic na mineral.... Asanteh!
Asanteh sana mkuu nimepata kitu haposynthetic oil ni oil inayotengenezwa kiwandani kwa kutumia kemikali mbalimbali na mineral oil ni oil inayochunjwa kutoka katika crude oil yaani mafuta ghafi yanayotoa petrol, diesel, kerosene na kadhalika.
Synthetic oil inahesabika kuwa ni oil bora kabisa kutokana na kutengenezwa ili kuhimili mazingira ambayo gari inakutana nayo mfano baridi kali, joto kali na vumbi ndio maana hata bei yake ni kubwa kuliko mineral oils.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hata mimi jibu hili linanihusuNi oil gani nzuri kwenye engine ya 5L diesel?
Toa maelezo ya kueleweka, kwa mtu anayetembea 50km average kwa siku kwa nini asisubiri kufikisha 5000km kama oil yake inauwezo huo?Kama gari yako ni trip zako kwa siku huzidi 30 km sio vizuri kutaka kufukisha 5000 km kwa castrol oil kwani itakaa muda mrefu kusubili hizo km 5000 na kupoteza uwezo wake kwa maana ya viscosity
Mtengenezaji wa gari a nakuambia kabisa badili oil kila baada ya 5000km,hizi nyingine ni mbwembwe za mafundi na Wafanya biasharaKumekuwa na maneno tofauti kuhusu oil za Castrol na Oryx sasa naomba kujuzwa kama ni kweli oil za Castrol zinaenda kilometers 5000 na kama ni kweli za Oryx zinaenda kilometers 8000.
Ahsanteni waungwana
Post hii na mwenyewe ni dhihirisho ya kutoelewa. Aliyesoma owner/operations au service manual atakua ameshaona matumizi ya chombo ndio uelekeza mambo ya service. Aina ya mafuta yanayotumika pia ni kielekezo; kw hili, magari ya kisasa unayoelekezwa utumie oili synthetic hayajapendekezewa service kila kilometa elfu tano! Tafuta manual zake ujisomee!Mtengenezaji wa gari a nakuambia kabisa badili oil kila baada ya 5000km,hizi nyingine ni mbwembwe za mafundi na Wafanya biashara