Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

watu wanashindwa kutofautisha kati ya synthetic and mineral oil, kila kampuni za kutengeneza oil wanatengeneza hizo oil za aina 2....unakuta mtu anakariri castrol zinaenda km nyingi na anaweka mineral oil matokeo yake anaenda km nyingi kuzidi uwezo wa oil kuhimili hapo kinachofuata ni kuua engine tu
Sure
 
Kinachofanya oil ziende km nyingi siyo jina (Castrol, BP oryx n.k) bali in teknolojia iliyotumika kupata oil husika. Oil ya kampuni yeyote ikiwa ni synthetic technology huwa inakuwa na uwezo mkubwa kuliko oil za kawaida (Mineral Oil). Ninaposema uwezo mkubwa namaanisha uwezo Wa kulinfa injini isichakae, kupunguza matumizi ya mafuta na kukaa muda mrefu toka ilupowekwa had I kubadirishwa
Hapo nmekuelewa vizuri sana kwa some mkuu shukran
 
Back
Top Bottom