Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

Kuna mwana nilimwambia khs suala la yeye kutumia SAE 40 badala ya 5w-30 akajifanya mjuaji sa hivi engine yake inalia kama vile vigari/vibajaji vya Mo Entreprises hahah.
 
Watanzania bado tuna safari ndefu sana...
Tumekariri oil nzuri ni Castrol...
Tumekariri gari nzuri ni Toyota...
Demu mzuri ni mwenye tako...

Kumbe kuna kampuni nyingine tofauti na hizo na zina bidhaa nzuri tu..

Watu wasome tofauti ya mineral oil na synthetic oil...

Ukishapata elimu hiyo, utakuwa huru kununua oil kutoka kampuni yoyote unayoiamini au inayoendana na kipato chako..

By the way, Kibongo bongo Castrol, Oryx na Total zinafanya vizuri na zinaendana na uchumi wa watu wengi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hii inaenda kilomita ngapi.? Nataka niweke kwenye Toyota Allex CC 1490


Sent using Jamii Forums mobile app
Inaenda Km 9000 kama utakua umefunga oil filter genuine na sio hizi za kawaida zimeandikwa genuine lakini kumbe sio ila ukifunga hizo za kawaida hakikisha unabadilisha oil kabla ya km 5000 na mwisho kabisa unashauriwa kubadilisha oil pindi uonapo imepungua kuliko kawaida hata kama haijafikisha hizo km zake kwa ushauri na jinsi ya kujipatia oil nzuri +255719263074/+255762263074

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Filter nimefunga genuine


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaijuaje hii mkuu tukienda dukani? Halafu nasikia mafundi wanatuwekea feki siku hizi...
 
Tutaijuaje hii mkuu tukienda dukani? Halafu nasikia mafundi wanatuwekea feki siku hizi...
Usikubali fundi akuwekee oil ambayo hujainunua mwenyewe kitendo cha kumpa pesa na kumwambia niwekee oil hii hakika mzee haiwekwi utaonyeshwa dumu tu cha kufanya fika kwenye maduka yanayoaminika yanayouza oil na umwambie naitaji oil Fulani ambayo ni synthetic na hapo utapata kitu kizuri na hakikisha unapokwenda kwa fundi kubadilisha usimwache mwenyewe hakikisha anamwaga na kuiweka hii uliyonunua na wewe ukiangalia tofaut na hapo inakula kwako ni wazi mafundi wengi wanawawekea oil feki kwa ushauri wa oil bora +255719263074/+255762263074

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro.upo wapi hapa Dar...au lazima tukupigie simu!
 
Ni oil gani nzuri kwenye engine ya 5L diesel?
Tumia chasis number mkuu i.e kwangu mimi hua na google hivi "KZN130 recommended oil" ila mnyama yupo service akitoka tu naenda Toyota kariakoo pale na chasis number waniambie niweke oil ipi..Engine, ATF, Diff, na makorokocho yake yote...
 

Filter genuine zinapatikana wap na bei gan?
 
Filter genuine zinapatikana wap na bei gan?
Bei ya filter inatofautiana kulingana na aina ya gari unayotumia na kampuni yake ila filter genuine inaanzia 20,000 kwa magari ya Toyota na Nissan na kwa kampuni zingine kama BMW ,Benz na magari yote ya ulaya na marekani kwa ujumla wake zipo hadi 50,000 sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…