Kinachofanya oil ziende km nyingi siyo jina (Castrol, BP oryx n.k) bali in teknolojia iliyotumika kupata oil husika. Oil ya kampuni yeyote ikiwa ni synthetic technology huwa inakuwa na uwezo mkubwa kuliko oil za kawaida (Mineral Oil). Ninaposema uwezo mkubwa namaanisha uwezo Wa kulinfa injini isichakae, kupunguza matumizi ya mafuta na kukaa muda mrefu toka ilupowekwa had I kubadirishwa