Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

Gan star

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
379
Reaction score
982
Wakuu natumaini mko salama,

Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom