Naomba kuelewa mazuri na mabaya ya kinywaji cha red bull

Joined
Nov 18, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Wakuu salama ? nimekuwa nikitumia red bull taratibu hasa asubuhi ninapo amka tu kwa kuchanganya na maji baridi kiasi cha lita moja na nusu(jagi moja la mezani) + red bull 1, pol pole hatimaye sasa imekuwa mazoea, baada ya kunywa hiyo asubuhi ni kweli kabisa kutwa nzima unakuwa umechangamka, hakuna uchovu, pia niona watu wengi sana wanatumia red bull jioni au usiku ambavyo ni tofauti na mm,

TAFADHALI MWENYE KUELEWA ZAIDI KUHUSU HIKI KINYWAJI
 
Kuna hii kitu energy drink i
 

Attachments

  • 1385565063793.jpg
    45.7 KB · Views: 185

nenda Google andika MADHARA YA REDBULL, utajisomea mwenyewe
 
Kuna uzi ulishawahi kuwekwa hapa kitambo kidogo umeelezea vzr sana kuhusu hiki kinywaji.utafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…