UTAYAPENDA MAISHA
Member
- Nov 18, 2013
- 18
- 0
Wakuu salama ? nimekuwa nikitumia red bull taratibu hasa asubuhi ninapo amka tu kwa kuchanganya na maji baridi kiasi cha lita moja na nusu(jagi moja la mezani) + red bull 1, pol pole hatimaye sasa imekuwa mazoea, baada ya kunywa hiyo asubuhi ni kweli kabisa kutwa nzima unakuwa umechangamka, hakuna uchovu, pia niona watu wengi sana wanatumia red bull jioni au usiku ambavyo ni tofauti na mm,
TAFADHALI MWENYE KUELEWA ZAIDI KUHUSU HIKI KINYWAJI
TAFADHALI MWENYE KUELEWA ZAIDI KUHUSU HIKI KINYWAJI