Limbwata limegomaitakuwa kalogwa na mpenzi
Swali ni dogo, na ni Gumuu, Siku ukisikia sauti ya muumba wako?: Na majibu yako utayapata siku hiohio. Mkuu"...napenda kuuliza ni kwa nn alama za vidole havifanani kati ya mtu na mtu "
Binadamu tunatofautiana mkuu...Ni katika uumbaji Mungu ndio ametutofautisha na ndio maana unaona fikra zetu, mitazamo na mawazo yetu hayafanani...
(Special and Unique characters)
Umbaji wa mungu hauingiliwi na any oneHavifanani ili kutofautishana kati ya mtu na mtu mpe polee jamaa mwambie aende hospital
aseeehSwali ni dogo, na ni Gumuu, Siku ukisikia sauti ya muumba wako?: Na majibu yako utayapata siku hiohio. Mkuu