gidlameck
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 618
- 530
Sina shaka mungu ametujalia kuiona ck nyingine tena ambao hamkufanikiwa kusimama na kutembea mola awape wepesi tena naomba kujua kupitia jukwaa hili kwani kuna wataalam na wabobezi wa mambo mbalimbali napenda kuuliza ni kwa nn alama za vidole havifanani kati ya mtu na mtu
Halafu kuna jamaa yangu anasema kwenye koo kuna kama kitu kimekwama japo chakula anakula vzr tu ila na hakuna maumivu yapo kidogo tu je tatizo ni nn
Halafu kuna jamaa yangu anasema kwenye koo kuna kama kitu kimekwama japo chakula anakula vzr tu ila na hakuna maumivu yapo kidogo tu je tatizo ni nn