Inaitwa "Sonar power button"
Kazi ya Sonar ni kumsaidia dereva asigonge kitu kilicho karibu na gari wakati wa parking or reverse, ndio maana Inapiga alarm ukiweka ON sababu kutakua na some kind of obstacles near you.
Kibongo bongo ni kama haina matumizi kivile.
Hope umenipata kiasi flani (Me mbovu wakujieleza) Kama una swali niulize.