Naomba kueleweshwa kazi ya hii button kwenye gari

Naomba kueleweshwa kazi ya hii button kwenye gari

Denis Yustad

Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
10
Reaction score
1
Hivi hii batani kwenye Gari uwa inafanya kazi gani? Maana Mimi naionaga ila sijui kazi yake nini kwenye Gari pamoja na kwamba, Mimj nibDereva. Hapa iko OFF, ila ukiiweka ON Gari inapiga Alam. Hii ni Noah.

IMG_20200330_090701_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa "Sonar power button"
Kazi ya Sonar ni kumsaidia dereva asigonge kitu kilicho karibu na gari wakati wa parking or reverse, ndio maana Inapiga alarm ukiweka ON sababu kutakua na some kind of obstacles near you.

Kibongo bongo ni kama haina matumizi kivile.

Hope umenipata kiasi flani (Me mbovu wakujieleza) Kama una swali niulize.
 
Ahsante. Kwa hiyo kama nimepaki, nikaiwasha ikapiga Alam, inamaanisha kuna kitu kiko karibu naweza kukigonga nichukue taadhali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom