Naomba kueleweshwa kuhusu biashara ya udalali

Naomba kueleweshwa kuhusu biashara ya udalali

Jofure freeman

Senior Member
Joined
May 21, 2018
Posts
150
Reaction score
381
Wakuu naomba kwa wazoefu wa hii biashara hii ya udalali a.k.a "Wazee wa Kulenga" mnisaidie nina mtaji wa gari moja mpya nataka nianze kununua na kulenga magari yaliyotumika. Je, changamoto ni zipi? Vipi kuhusu faida na hasara zake?

Kiufupi niliwahi kufanya mwaka jana nikanunua ka gari ka millioni 6 nimekaa nayo kwa zaidi ya miezi sita nikaja kuuza kwa million 5 sasa nikawa nimeogopa na kusitisha kwa muda maana badala ya kulenga nikaona nimelengwa mimi.

Nishaurini ndugu zangu. Biashara hiyo naipenda. Kwa sasa nimeomba ushauri wenu kabla sijaweka mtaji wangu tena wa mil7+.

Nakaribisha ushauri wenu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazungukaga Bima wenzako acha zile business card waambie wakupe taarifa juu ya gari kama I.S.T, Crown, Raum, Noah na nyengine zilizo kwa chat in town ambazo no total Loss Ila ziwe latest number plate zioo ambazo zinazotengenezeka utapata faida.
 
Back
Top Bottom