Naomba kueleweshwa kuhusu mimba na mtoto.

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,733
Mke wangu ana mtoto wa miezi 8,ni kwamba bado ananyonya,but imetokea tatizo mke wangu ana mimba changa, je kuendelea kumnyonyesha mtoto kuna madhara yoyote?
 
Du! ulishindwa kuvumilia, any way mimba ni ya miezi mingapi, kama ni zaidi ya four month amuachishe haraka kunyonya!
 
Mke wangu ana mtoto wa miezi 8,ni kwamba bado ananyonya,but imetokea tatizo mke wangu ana mimba changa, je kuendelea kumnyonyesha mtoto kuna madhara yoyote?

Du wewe ni mshambuliaji hatari,sasa unaenda kumbemenda mtoto.teh teh teh teh.
 
Mke wangu ana mtoto wa miezi 8,ni kwamba bado ananyonya,but imetokea tatizo mke wangu ana mimba changa, je kuendelea kumnyonyesha mtoto kuna madhara yoyote?

Hongera..unajua tunasema inaleta madhara lakini mimi kutokana na experience yangu sijawahi kuiona pia nilinyonyesha mtoto mpka mwaka na miezi kumi..nikamwachisha nikiwa na ujauzito wa 3month..lakini kuna mtu nilimuona ananyonyesha mtoto akiwa mdogo hana ata 1yr na yeye ana mimba ya 30wks .nikamuuliza akanijibu doctor kasema hakuna tatizo..ebu cheki na gyno umsikie pia uliza na doctor wa watoto..utapata jibu zuri..
 
Huyo mtoto wako atakuwa na akili kama za MULUGO
 
Back
Top Bottom