Naomba kueleweshwa kuhusu mpapai dume

Naomba kueleweshwa kuhusu mpapai dume

VENTURECACHER

Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
38
Reaction score
8
Ninaombaa kufahamuu kuhusu mipapai isiyotoaa matundaa, ni hali gan inapelekeaa kuwa hvyoo?? Je kufungiaaa gunzii kwa mti kuna saidiaa kutokana na hali hiyoo?

Tafadhaliii mwenye kujua jambo hili.
 
Kwenye mpapai dume ukiaply force kwa kutumia kitu chochote mpapai hujibadiri jinsia na kuwa wa kike,

Anayefunga gunzi, jiwe, betri au kitu chochote kwenye shina la mpapai anakuwa ameaply compressional force ambayo inaperekea mpapai kujibadirisha jinsia
 
Na hii kufungaa gunzii au betri...ni kwa muda gani au palee tu unapoona mauaa ya kuonyeshaa mpapai huu utakuwaa dumee?? Tafadhaliii mkuu.
 
Mimi niongee swali tu hapo, hiv unaweza kutengeneza mbegu za mpapai kwa kukausha juani zile mbegu unazotoa ndani yake halaf ukapanda zikaota??????
 
Back
Top Bottom