Naomba kueleweshwa kuhusu Radiography?

Wakuu samahani mdogo wangu kachaguliwa diploma ya radiography chuo cha kikatoliki cha sengerema hii kozi ikoje maana wamechaguliwa 20 tu ni kozi salama au kadandia mtumbwi wa vibwengo, Mwenye uelewa nayo msaada
Ukisikia ultrasound, xray, CT SCAN, MRI, ndo hao watu. Ila vyuo vya diploma Tanzania kwa sasa ni Muhimbili, Bugando, na Benjamin Mkapa, labda vyuo vya certificate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…