jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 110
Wadau habari..
Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye 4500000... Cha ajabu nimewekewa mkopo wa 3900000... Nimefatilia nimekuta bank wamebania tshs 510000.. Nimewaambia loan officers wananiambia ela nayopaswa kulipwa ni tshs. 300000 na tshs 210000 ni interest ya mkopo...
Nimejiuliza wadau interest ya mkopo nakatwa vipi wakati najua interest hua inakatwa kwenye installment?
Wameshaweka makato kwenye system lakini wameng'ang'ania 300000 yangu..?
Ela ipo ila wanasema ikifika mwisho wa mwezi kama hawajakata mshahara hawanirudishii hiyo 300000...
Tatizo ipo kwenye hiyo 210000 wananikataje interest wakati wanapaswa kunikata kwenye marejesho kwa uelewa wangu mdogo?
Na je kama 210000 ni interest kwanini iwepo pending kwenye account yangu hawajai approve?
Asanteni naombeni msaada