Naomba kueleweshwa kuhusu riba ya CRDB ukiuza mkopo

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Wadau habari..

Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye 4500000... Cha ajabu nimewekewa mkopo wa 3900000... Nimefatilia nimekuta bank wamebania tshs 510000.. Nimewaambia loan officers wananiambia ela nayopaswa kulipwa ni tshs. 300000 na tshs 210000 ni interest ya mkopo...

Nimejiuliza wadau interest ya mkopo nakatwa vipi wakati najua interest hua inakatwa kwenye installment?

Wameshaweka makato kwenye system lakini wameng'ang'ania 300000 yangu..?

Ela ipo ila wanasema ikifika mwisho wa mwezi kama hawajakata mshahara hawanirudishii hiyo 300000...

Tatizo ipo kwenye hiyo 210000 wananikataje interest wakati wanapaswa kunikata kwenye marejesho kwa uelewa wangu mdogo?

Na je kama 210000 ni interest kwanini iwepo pending kwenye account yangu hawajai approve?

Asanteni naombeni msaada
 
Mwenzangu huu uzi umeuleta uko na stress, hata ueleweki sijui December ya mwaka gani, hata separator ya figure za utaki kutumia, huku nimechukua 18.9m mara nimetapaswa kulipa 4.5m tena ukapata 3.9m mara umepunjwa 510k tena wamekuibia 210k loool

Mimi sio mjuzi wa mikopo ila huenda hiyo 210k huwa ni issue ya BIMA ya mkopo na siku hizi Bank nyingi wana kitu wanaita Loan Processing Cost hii ni hongo kwa viongozi wa idara nyingi zinazo ruhusu huo Mkopo ndio maana si kama wakati wewe ulipaswa kusumbuka sehemu kupata mihuri.

Sema ulipaswa uwe na uelewa wa kutosha juu ya hatma ya mwenendo wa shughuli zote za mkopo. Pole big boss, nikube tu na mm buku hata 10 (joke)
 
Pole sana ila mpaka sasa nilichoelewa ni ulikuwa na mkopo NMB na CRDB wakaununua,
Ila kwenye figure mkuu sijaambulia kitu, jaribu kuzitenganisha, huwezi kuandika tarakimu kibao bila kuzitenganisha.
 
Ishu ni kwamba baada ya kupokea mkopo kuna tshs. 500,000 imebaki bank wameniambia kwenye hiyo laki 5 kama watakata mkopo wa mwezi december 2018 nitarudishiwa laki 3 na laki 2 itakayobaki ni interest ya mkopo... Ndio nilikua nauliza inakuaje hiyo laki mbili wakate interest wakati bank ishachukua installment yake... Pesa zote za makato wameshakata processing fee na insurance wameshaondoa kwenye huo mkopo sasa hiyo laki 2 ni interest ya kitu gani?
 
Ukiuza mkopo Kuna transfer fees ndio hiyo nadhani niliwahi kumbana na hayo mambo
 
Back
Top Bottom