Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

Father of Chemistry

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2021
Posts
401
Reaction score
1,282
Habari wanajamii,

Nawasalimu kwa jina la jamhuri.

Poleni na majukumu yenu ya kila siku.

Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu.

Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22.

Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa masomo sikupata mkopo asilimia zote pia hela ya TUTION FEE wamenilipia hela nusu pia hela ya BOOKS/STATIONARY pamoja na FIELD sikupata.

Je, kwa mwaka wa pili na watatu ninaweza kupewa hizo hela za vitu ambavyo sikupata na TUTION FEE kuongezwa.

Au huu mkopo ni kwa miaka yangu yote ya masomo.

Nawasilisha.
 
Unaweza kupata ila nyie kwenye account zenu wameonesha mgao kwa kipindi chote ukiwa chuoni jaribu kufatilia kwenye account ya SIPA
 
Back
Top Bottom